Breaking News: NECTA Watangaza Matokeo ya Kidato Cha Nne 2017....Bofya Hapa Kuyatazama

Matokeo ya kidato cha nne yametangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa Necta,  Dk Charles Msonde ==>Yatazame hapo chini Link 1: Matokeo Ya Mtihani Wa Kidato Cha Nne (Csee) 2017Link 1: Matokeo Ya Mtihani Wa Maarifa (Qt) 2017Link 2: Matokeo Ya...

Syria: Turkey war planes launch strikes on Afrin

Turkish war planes hit Kurdish positions on the Syrian side of the border on Saturday Turkish war planes have launched air strikes on Kurdish fighters in northern Syria in a move likely to raise tensions with the US. Turkey wants to oust the YPG...

Breaking News: Matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili yatangazwa. Bofya Hapa Kuyatazama

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 22 na 23 mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya vyema katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo...

Tanzania yaongeza maradufu panya buku wanaotambua TB

Tanzania inaongeza maradufu idadi ya panya buku wanaotumika kuutambua ugonjwa wa kifua kikuua. Panya hao hupewa mafunzo na wana uwezo wa kunusa kamasi za binaadamu na kutambua kwa haraka ugonjwa wa TB. Wana uwezo wa kutambua sampuli mia moja kwa muda...

Zanzibar yatinga fainali CECAFA, yaichapa Uganda 2-1

Timu ya Taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki maarufu kama CECAFA Challenge baada ya kuwachapa mabingwa watetezi, Uganda mabao 2-1, jioni ya leo Uwanja wa Moi mjini Kisumu, Kenya. Zanzibar...

Askari mbaroni kwa kumuua mwenzake kisa 'mapenzi'

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia kwa mahojiano askari Magereza wa Gereza la Kisongo jijini Arusha, Koplo Faustine Masanja kwa tuhuma za kumuua mwenzake wakiwa kazini. Akizungumza na Vyombo vya Habari jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha,...

JPM katoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yak

December 9 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza msamaha kwa Familia ya Babu Seya, msamaha huo ameutoa wakati wa maadhimisho ya sikukuu  ya Uhuru Mjini Dodoma Leo ”Kutokana na...

Korea Kaskazini yarusha kombora kuelekea Japan

Korea Kaskazini ilirusha kombora tarehe 29 Agosti 2017 kuelekea Bahari ya Japan, uongozi wa jeshi la Korea Kusini limebaini. Korea Kaskazini ilifanya jaribio la kombora kuelekea bahari ya Japan, askari wa Korea Kusini wamebaini. Kombora hilo...

BREAKING: Mbunge Ester Bulaya amelazwa baada ya kuugua akiwa rumande

Taarifa iliyonifikia usiku huu kutoka Tarime mkoani Mara ni kuwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amewahishwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kuugua akiwa rumande ambako alikuwa ameshikiliwa na Polisi baada ya kumkamata akiwa Hotelini,...

Tuesday, October 6, 2015 Dk John Magufuli Ammwagia sifa Dk Slaa Karatu

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli jana aliwahutubia mamia ya wakazi wa Karatu na kummwagia sifa aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuwa ni kiongozi mwadilifu. Akihutubia mkutano wa hadhara...

Tuesday, October 6, 2015 Serikali Yakanusha Tena Taarifa za Jenerali Mwamunyange Kuwekewa SUMU...... Yalaani Wanaoponda Rais Kikwete Kuteua Wakuu Wapya wa Wilaya

Wakati  kukiwa kuna taarifa zinazoenezwa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zikisema mkuu wa Majeshi  ya ulinzi  nchini Jeneral Davis Mwamunyange   amewekewa sumu na hali yake sasa hivi ni  mbaya, huku taarifa hizo...

Ndege ya JWTZ yaanguka, marubani wapotea

NDEGE ya mafunzo ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), imepata ajali ikiwa na marubani wawili katika eneo la Silversands, Visiwa vya Bundya, katika Mwambao wa Bahari ya Hindi Kaskazini Mashariki mwa Jiji la Dar es Salaam.  ...

Friday, September 25, 2015 Mahujaji Wanne wa Tanzania Wafariki Mecca

Watanzania wanne wamethibitishwa kufa katika tukio la kukanyagana jana huko Mina katika mji wa Mecca, ikiwa ni miongoni mwa mahujaji 717 waliopoteza maisha katika tukio hilo wakati wa siku ya mwisho ya Hija. Taarifa ya Sheikh Mkuu wa Tanzania...

Breaking News: Waziri Celina Kombani afariki dunia

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani amefariki dunia nchini India  alikokuwa akipatiwa matibabu Taarifa tulizozipata usiku huu  zimesema  kuwa Waziri Kombani ambaye pia alikuwa...

LOWASSA Aeleza Kama Atakubali au Atakataa Matokeo Akitangazwa AMESHINDWA

ZIKIWA  zimebakia  siku 30  kabla  watanzania  hawajapiga  kura  ya  kumchagua  Rais,mgombea  urais  kwa  tiketi  ya  CHADEMA, Edward  Lowassa  ambaye  amekuwa ...

Thursday, September 24, 2015 Mgeja Ashangaa Push-Up Za Magufuli....Asema Anafaa Kushiriki Michezo Ya Olympic Na Sio Urais

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja  ambaye  alijiondoa  na  kuhamia  Vyama pinzani, amesema anashangaa kuona mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli, akipiga push up, hivyo akasema anafaa kushiriki...

Joseph Musukuma Amshambulia LOWASSA........Asema Alijisaidia Hadharani Pale Chato. Tazama Video hii

MWENYEKITI wa CCM mkoa wa Geita, Joseph Msukuma amemvaa mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa na wengine waliohamia Ukawa akisema wanashukuru chama kimetua mzigo.   Msukuma, ambaye anaaminika kuwa swahiba wa Lowassa wakati wa mchakato ...

Picha ya Magufuli Akipa Push-Up Kuonesha Yuko FITI

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli akipiga 'push-up' kuonesha kuwa anauwezo wa kufanya kazi ukilinganisha na wagombea wengine, hii ilikuwa katika kampeni zake Karagwe. Credit:Mpeku...
Older Posts
© Copyright 2025 Enter Media | Designed By Code Nirvana Published.. Blogger Templates
Back To Top