Taarifa
tulizozipata usiku huu zimesema kuwa Waziri Kombani ambaye pia
alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ulanga Mashariki kupitia chama cha
Mapinduzi, mwili wake utawasili nchini Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu
Mtandao huu unatoa pole kwa familia ya marehemu na taifa kwa ujumla kwa msiba huu.
Credit: Mpekuzi
Post a Comment