Ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Kufahamu kwa kina kuhusu sayansi ya nguvu za kiume, tafadhali temb elea :
Hata
hivyo, kwa kutumia dawa asilia ya JIKO pamoja na LISHE MAALUMU
KWA WANAUME WANAO SUMBULIWA NA TATIZO LA UKOSEFU &
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, unaweza kupona kabisa tatizo la
ukosefu wa nguvu za kiume na kurejesha upya furaha katika
maisha yako ya ndoa.
LISHE YA MAALUMU YA NGUVU ZA KIUME NI NINI ?
Lishe
maalumu ya nguvu za kiume mi mchanganyiko wa dawa asilia
iitwayo JIKO pamoja vyakula-dawa vingine zaidi ya thelathini
ambavyo vyote kwa pamoja uhusika na kutibu na kuponyesha
kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Lishe hii maalumu huwasaidia hata wale ambao tatizo lao linatokana na maradhi ya kisukari.
Mtu
pekee ambae lishe hii haiwezi kumsaidia ni Yule ambaye tatizo
lake linatokana na magonjwa ama hitilafu katika tezi za
kiume pamoja na mtu mwenye matatizo katika figo.
MUDA WA DOZI.
Lishe hii maalumu hutumika kwa muda wa siku thelathini.
LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Ifuatayo ni lishe inayo tumika maalumu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
1. SIKU YA KWANZA
MAHITAJI :
i. Ungaunga wa mizizi ya JIKO kiasi cha vijiko vidogo viwili (tea spoon )
ii. Maji ya moto kiasi cha milimita 250.
Matayarisho
: Chukua vijiko viwili vidogo vyenye dawa yako, kisha
changanya kwenye kikombe cha maji ya moto chenye ujazo wa
milimita 250 ( 250 mills ), halafu koroga kisha tumia kunywa.
Utafanya hivyo mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa muda
wa siku thelathini mfululizo.
(
N. B: Katika siku zote thelathini, utatakiwa kutumia dawa ya
JIKO. Hivyo basi, kuanzia siku ya pili hadi siku ya thelathini,
utakuwa unatumia dawa ya JIKO pamoja na dawa utakayo takiwa
katika siku husika. Unashauriwa kukaa kwa dakika tano baada ya
kutumia dawa ya JIKO ndipo utumie na dawa nyingine.
2. SIKU YA PILI :
Mahitaji :
i.Mdalasini ya unga kiasi cha gram 100.
ii.Maji lita moja.
Matayarisho
: Chukua mdalasini ya unga kiasi cha gramu 100 kisha
changanya na maji lita moja halafu chemsha hadi itokote kisha
ipua , chuja na uhifadhi dawa yako kwenye chupa ya chai au
chombo chochote utakacho ona kinafaa.
Matumizi
: Gawanya dawa yako katika nusu mbili zinazo lingana kisha
tumia kunywa nusu moja asubuhi na nusu nyingine jioni.
3. SIKU YA TATU :
Mahitaji :
i. Maua ya rozera yaliyo kaushwa kiasi cha gram 250.
ii. Maji lita mbili.
Matayarisho
: Chukua maua ya rozera yaliyo kaushwa kisha yaloweke kwenye
maji lita mbili. Utayaacha ndani ya maji kwa muda wa dakika
kumi na tano kisha utayachemsha hadi yatoe rangi nyekundu na
kutokota. Baada ya hapo utaipua na kuchuja, makapi utaweka
pembeni, na kuhifadhi juisi yako kwenye chupa ya chai ama
chombo chochote utakacho ona kinafaa.
Matumizi
: Gawanya dawa yako katika nusu mbili zinazo lingana kisha
tumia kunywa mara mbili, yaani asubuhi kunywa nusu moja na
jioni kunywa nusu nyingine.
4. SIKU YA NNE :
Mahitaji :
i. Vitunguu maji vinne vikubwa
ii.Chumvi maskati kibonge kimoja.
iii. Samaki aliye kaangwa au aliye banikwa.
Matayarisho
: Chukua vitunguu maji viwili vikubwa vilivyo komaa sawa, sawa
kisha viponde ponde kidogo halafu vibanike katika wavu wa
kubanikia nyama hadi viive vizuri.
Baada
ya hapo utachukua vitunguu viwili utakula pamoja na samaki
aliye kaangwa au aliye banikwa huku ukitoweza kwenye chumvi
maskati. Utafanya hivyo asubuhi na jioni. Yaani jioni utakula
vitunguu maji viwili na samaki mmoja huku ukitoweza kwenye
chumvi maskati na jioni utakula vitunguu maji viwili pamoja na
samaki mmoja aliye kaangwa huku ukitoweza kwenye chumvi maskati.
Kama
utashindwa kuvibanika vitunguu, basi utavichemsha kwenye maji
hadi viive vizuri kisha utatumia kula pamoja na samaki huku
ukitoweza kwenye chumvi maskati.
5. SIKU YA TANO
Mahitaji
i. Unga wa karafuu maua vijiko viwili vikubwa.
ii. Maziwa fresh ya n’gombe ya moto sana yenye ujazo wa milimita mia mbili hamsini
Matayarisho
: Chukua kijiko kimoja cha unga unga wa karafuu maua kisha
changanya kwenye glasi moja ya maziwa fresh ya moto yenye
ujazo wa milimita mia mbili hamsini halafu vuruga vizuri hadi
kabisa hadi ichanganyikane kabisa.
MATUMIZI
: Tumia kunywa mara mbili, asubuhi na jioni. Yaani asubuhi
utatumia kijiko kikubwa cha karafuu maua kwenye glasi moja ya
maji ya moto na jioni utafanya kama ulivyo fanya asubuhi, na
ama kwa hakika utakuwa umeongeza kitu muhimu sana katika afya
yako hususani katika suala la nguvu za kiume.
6. SIKU YA SITA
Mahitaji:
i. Karafuu maua kijiko kimoja kikubwa
Unga wa udil karaha kijiko kimoja kikubwa
Maziwa fresh ya moto milimita 250
Matayarisho
: Chukua kijiko kimoja kikubwa cha unga wa udil karaha
halafu changanya na kijiko kimoja kikubwa cha unga wa karafuu
maua halafu changanya na glasi moja ya maziwa fresh ya moto
sana yenye ujazo wa milimita mia mbili hamsini ( 250 mills )
Matumizi
: Tumia kunywa kikombe kimoja asubuhi na kikombe kimoja jioni.
Yaani asubuhi utachanganya kikombe kimoja kikubwa cha unga wa
udil karaha na kikombe kimoja kikubwa cha unga wa karafuu maua
kwenye glasi ya maziwa fresh ya moto utakoroga na kisha kunywa,
halafu jioni utafanya kama ulivyo fanya asubuhi.
7. SIKU YA SABA
Mahitaji :
i. Unga wa habbat sodah vijiko viwili vikubwa
Unga wa khulinjani vijiko viwili vikubwa
Glasi ya maziwa fresh ya moto yenye ujazo wa milimita mia mbili hamsini.
Matayarisho
: Chukua vijiko viwili vikubwa vya habbat sodah ya unga,
changanya na vijiko viwili vikubwa vya khulinjani ya unga
kisha tia kwenye glasi ya maziwa fresh ya moto halafu koroga
hadi ichanganyike kabisa .
Matumizi
: Tumia kunywa kikombe kimoja cha dawa asubuhi na kikombe
kingine utakunywa jioni. Yaani ikifika jioni utayarisha dawa
yako kama ulivyo tayarisha asubuhi na kisha kunywa.
8. SIKU YA NANE :
Mahitaji
i. Unga unga wa mbegu za figili vijiko vikubwa viwili
Glasi mbili za maji ya moyo zenye ujazo wa milimita mia mbili hamsini.
Matayarisho
& Matumizi : Asubuhi chukua kijiko kimoja kikubwa cha
ungaunga wa mbegu za figili kisha changanya kwenye glasi ya
moto halafu koroga kisha kunywa na ikifika jioni fanya kama
ulivyo fanya asubuhi.
9. SIKU YA TISA
Mahitaji
i. Fil-fil ab-yadh ya unga ( fil – fil nyeupe ) kijiko kimoja kikubwa
Qar –nafil ya unga kijiko kimoja kikubwa
unga unga wa mbegu za figil vijiko viwili vikubwa.
Matayarisho
: Changanya dawa zote hizo tatu kwenye maji lita moja halafu
chemsha hadi itokote kisha ipua , chuja na uhifadhi dawa yako
kwenye chupa ya chai.
MATUMIZI : Gawanya
dawa yako katika mafungu mawili yanayo lingana kisha tumia
kunywa nusu moja asubuhi na nusu nyingine jioni.
10. SIKU YA KUMI
Mahitaji
i. Majani ya nana robo kilo
Maji lita mbili.
Matayarisho
: Chukua majani ya nana robo kilo kisha changanya na maji
lita mbili halafu chemsha hadi itokote. Ikisha tokota ipua
chuja, makapi weka pembeni halafu juisi yako hifadhi kwenye
chupa ya chai au chombo chochote utakacho ona kinafaa.
Matumizi :
Gawanya dawa yako katika nusu mbili zinazo lingana halafu
tumia kunywa mara mbili, yaani nusu moja kunywa asubuhi na nusu
nyingine uinywe usiku.
11. SIKU YA KUMI NA MOJA :
Mahitaji
i. Unga wa kitunguu thaumu vijiko vinane vikubwa.
Maji lita moja.
Matayarisho
: Chukua vijiko vinane vikubwa vya unga wa kitunguu thaumu
kisha changanya kwenye lita moja ya maji halafu chemsha hadi
itokote. Ikisha tokota, ipua , chuja, na uhifadhi juisi yako
kwenye chupa ya chai.
MATUMIZI :
Gawanya dawa yako katika nusu mbili zinazo lingana halafu
tumia kunywa nusu ya kwanza asubuhi na nusu ya pili utainywa
wakati wa usiku.
12. SIKU YA KUMI NA MBILI
Mahitaji
i. Habat Sodah ya unga kijiko kimoja kikubwa
Ubani Dhukra ya unga kijiko kimoja kikubwa.
Glasi moja ya maji ya moto yenye ujazo wa milimita mia mbili hamsini.
Matayarisho
:Chukua kijiko kimoja kikubwa cha Habbat Sodah ya unga halafu
changanya na kijiko kimoja kikubwa cha unga wa Ubani Dhukra.
Matumizi :
Chukua vijiko viwili vidogo vya dawa yako, kisha changanya
kwenye kikombe chenye maji ya moto halafu koroga kisha tumia
kunywa. Utafanya hivyo na asubuhi na itakapo fika jioni, utafanya
kama ulivyo asubuhi.
13. SIKU YA KUMI NA TATU
Mahitaji
i. Mdalasini ya unga vijiko viwili vikubwa
Khulinjani ya unga vijiko viwili vikubwa.
Maji ya moto glasi moja yenye ujazo wa milimita mia mbili hamsini.
Matayarisho :
Chukua viwili vikubwa vya mdalasini ya unga kisha changanya
na vijiko viwili vikubwa vywa khulinjani ya unga, halkafu
chukua vijiko viwili vidogo vya dawa iliyo changanywa
kwenye kikombe cha maji ya moto
Matumizi : Tumia kunywa glasi moja asubuhi na ikifika usiku utakunywa glasi moja nyingine.
14. SIKU YA KUMI NA NNE
Mahitaji:
i. Kitunguu thaumu gram 100
Karafuu maua vijiko viwili vikubwa.
Maziwa fresh ya n’gombe nusu lita.
Matayarisho
:Chukua vitunguu thaumu kiasi cha robo kilo kisha vimenye
kupata punje zake halafu vipondeponde hadi vilainike kisha
mimina maziwa fresh ya n’gombe kiasi cha nusu lita kisa tia
katika moto. Pika pamoja hadi hivyo vitunguu thaumu viive
vizuri kabisa na kuchanganyika na maziwa fresh kiasi cha
kutojua hiki ni kitunguu na haya ni maziwa.
Baada
ya hapo, toa katika moto halafu acha ipoe. Baada ya hapo
chukua vijiko viwili vikubwa vya unga wa kaafuu maua, kisha
tia kwenye dawa yako halafu koroga kwa muda wa dakika moja,
kisha hifadhi dawa yako kwenye chombo kisafi..
MATUMIZI :
Gawanya dawa yako katika nusu mbili zinazo lingana halafu
tumia mara mbili, yani nusu moja tumia asubuhi na nusu
nyingine utatumia usiku.
15. SIKU YA KUMI NA TANO
MAHITAJI :
i. Mbegu za uwatu vijiko vikubwa vinane
ii. Maji nusu lita
MATAYARISHO
Chukua
vijiko vinane vikubwa vya mbegu za uwatu kisha loweka kwenye
maji nusu lita kwa usiku kucha halafu ikifika asubuhi, ziponde
ponde hizo mbegu zikiwa ndani ya maji kisha chuja kupata juisi
yake.
MATUMIZI : Tumia kunywa robo lita asubuhi na robo lita utakunywa wakati wa usiku.
( N.B: ZOEZI LA KULOWEKA MBEGU ZA UWATU KWENYE MAJI, UNASHAURIWA KULIFANYA USIKU WA SIKU YA KUMI NA NNE )
16. SIKU YA KUMI NA SITA
MAHITAJI
i. Unga wa manjano vijiko vinane vikubwa
ii. Maji lita moja
MATAYARISHO : Chukua
vinane vikubwa vya manjano ya unga, loweka kwenye lita moja
ya maji kwa muda wa dakika kumi na tano kisha chemsha hadi
itokote halafu ipua, chuja na uhifadhi dawa yako kwenye chupa
ya chai.,
MATUMIZI : Gawanya
dawa yako katika mafungu mawili yaliyo sawa kisha tumia
kunywa mara mbili. Asubuhi kunywa nusu ya ya kwanza halafu nusu
ya pili utainywa wakati wa usiku.
17. SIKU YA KUMI NA SABA :
MAHITAJI
i.Uwatu ya unga vijiko vinane vikubwa
ii.Maji lita moja.
MATAYARISHO :
Chukua vijiko vinane vikubwa vya uwatu ya unga kisha loweka
kwenye maji lita moja kwa muda wa dakika kumi na tano halafu
chemsha hadi itokote kisha ipua chuja na uache ipoe. Ikisha
poa, hifadhi kwenye chupa ya chai au chombo chochote utakacho
ona kinafaa.
MATUMIZI :
Gawanya dawa yako katika nusu mbili zinazo lingana kisha
tumia kunywa nusu moja asubuhi na nusu ya pili uinywe wakati
wa usiku.
SIKU YA KUMI NA NANE HADI YA THELATHINI.
Siku ya kumi na nane hadi ya thelathini, utatumia mchanganyiko maalumu wa dawa thelathini kama ifuatavyo :
MAHITAJI :
1. Daaru fil-fil ya unga kijiko kimoja kikubwa
2. Fil-fil-ab –yadh au fil fil nyeupe kijiko kimoja kikubwa
3. Fil-fil aswad au fil-fil nyeusi kijiko kimoja kikubwa
4. Aqir -Karaha ya unga kijiko kimoja kikubwa
5. Khulinjani ya unga kijiko kimoja kikubwa
6.Hal-tiyti kijiko kimoja kikubwa
7.Qusti iliyo sagwa kijiko kimoja kiukubwa
8. ‘Hab at Sufa ya unga kijiko kimoja kikubwa
9. Tangawizi ya unga kijiko kimoja kikubwa
10.Zaafarani ya unga au zaafarani ya nyuzi iliyo sagwa kijiko kimoja kikubwa
11. Basbasi jauz ya unga kijiko kimoja kikubwa
12. Kakila ya unga kijiko kimoja kikubwa
13. Ub ani Kandar ya unga kijiko kimoja kikubwa
14. Karafuu ya unga kijiko kimoja kikubwa
15. Mdalasini ya unga kijiko kimoja kikubwa
16. Ubani mushtaqa ya unga kijiko kimoja kikubwa
17. Haluli ya unga kijiko kimoja kikubwa
18. Habbat Sodah ya unga kijiko kimoja kikubwa
19. Sufa nyeupe ya unga kijiko kimoja kikubwa
20. Unga wa kitunguu thaumu kijiko kimoja kikubwa
21. Uwatu ya unga kijiko kimoja kikubwa
22. Unga wa majani ya nana kijiko kimoja kikubwa
23. Chumvi maskati iliyo sagwa kijiko kimoja kikubwa
24. Himswi kijiko kimoja kikubwa
MATAYARISHO :
Changanya dawa zako zote hadi zichangamanike kabisa. Chukua
vijiko vikubwa viwili vyenye dawa yako, kisha changanya kwenye
nusu lita ya maji ya moto halafu koroga hadi maji
yachangamane na dawa, kisha hifadhi dawa yako kwenye chupa ya
chai au chombo chochote kisafi.
MATUMIZI :
Tumia kunywa robo lita asubuhi na robo lita nyingine utainywa
wakati wa usiku. Utafanya hivyo kila siku kwa muda wa siku
kumi na tano.
GHARAMA YA DAWA PAMOJA NA LISHE HII MAALUMU
: Gharama ya dawa ya JIKO pamoja na lishe hii maalumu ni
SHILINGI LAKI MOJA NA ELFU ISHIRINI TU (Tshs.120,000/=)
Kwa
pesa hiyo utapata package yote kasoro vitunguu thaumu na
maziwa pekee. Hii maana yake ni kwamba utapata dawa ya JIKO
pamoja na dawa nyingine zote zilizo orodheshwa hapo juu.
Dawa zote zitakuja zikiwa zimeisha changanywa tayari na kazi yako itakuwa ni kutumia tu.
MAHALI TUNAPOPATIKANA :
Tunapatikana
jijini DAR ES SALAAM, eneo la MTAA WA UNGONGO PLAZA karibu
na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya jengo la
UBUNGO PLAZA.
Kufika
ofisini kwetu, njoo hadi UBUNGO PLAZA kisha ulizia mahali
ilipo SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING. Ukifika Shule
ya Msingi National Housing, upande wa nyuma,tembea hatua
ishirini mbele kisha tazama upande wako wa kulia, utaona ofisi
yetu imeandikwa NEEMA HERBALIST.
Kwa
wateja wasio na muda wa kuja ofisini kwetu, watapelekewa dawa
mahali walipo. Kwa wateja wa mikoani, watatumiwa dawa kwa njia
ya mabasi, kwa wateja wa Zanzibar watatumiwa dawa kwa njia
boti na kwa wateja wa ughaibuni watatumiwa dawa kwa njia ya
POSTA au DHL.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
Kwa taarifa zaidi, kuhusu huduma zetu, endelea kututembelea kila siku katika blogu yetu :
credit:Mpekuzi
Post a Comment